Uhamiaji wa watu kutoka nchi moja hadi nchi nyingine umetajwa kama hatua ambayo huleta maendeleo katika mataifa mengine. hata hivyo baadhi ya wahamiaji huingia katika mataifa mengine wakitumia vibali visivyo halali jambo ambalo hupelekea serikali kuchukua hatua ya kuwakamata.
Facebook Forum