No media source currently available
Gambia wiki hii imezidua tume ya watu 11 ambayo itakuwa na majukumu kuchunguza mauwaji kupotea kwa watu , mateso ubakaji na uhalifu mwingine uliotendewa chini ya utawala wa dikiteta aliyeondolewa madarakani Yahya Jammeh.
Ona maoni
Facebook Forum