Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 17:39

Tuzo za WASTA zimetolewa kwa wanahabari na wataalam


Tuzo za WASTA zimetolewa kwa wanahabari na wataalam
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:52 0:00

Kama kiashiria cha kukumbatia Lugha ya Kiswahili zaidi na kuitumia kama mojawapo wa lugha za kiafrika kujenga mizizi yake katika ukanda wa Afrika Mashariki, tuzo za Kiswahili zimetolewa kwa wanahabari na wataalam wa Kiswahili kutoka Kenya na Tanzania.

XS
SM
MD
LG