Kwa mara nyingine tena wakenya wameshuhudia ajali nyingine mbaya ya basi magharibi mwa nchi hiyo ambapo zaidi ya watu 55 wamepoteza maisha wakati basi hilo lililokuwa likisafiri kutoka mji mkuu Nairobi kuelekea magharibi mwa Kenya katika mji wa Kakamega.
Facebook Forum