Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Oktoba 20, 2020 Local time: 23:55

Mchezo wa mpira wa miguu watumiwa kueneza amani Sudani Kusini.


Mchezo wa mpira wa miguu watumiwa kueneza amani Sudani Kusini.
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:16 0:00

Baada ya makubaliano kadhaa ya kuleta amani nchini Sudan Kusini kufikiwa , sasa mchezo wa soka unaanza kutumika kuleta amani nchini humo. Mo Farah Uingereza ashinda mbio za ndefu za Chicaco kwa upande wa wanaume na wanawake Brigid Kosgei kutoka Kenya alishinda kwa upande wa wanawake.

XS
SM
MD
LG