Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 12:46

Mke wa waziri mkuu wa zamani wa Malaysia amedai hana makosa kwa mashtaka kadhaa yanayohusishwa na kashfa

Mke wa waziri mkuu wa zamani wa Malaysia amedai hana makosa kwa mashtaka kadhaa yanayohusishwa na kashfa
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:06 0:00

Mke wa waziri mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak amedai hana makosa kwa mashtaka kadhaa yanayohusishwa na kashfa ya ubadhirifu wa fedha za umma kutoka mfuko wa taifa wa uwekezaji jambo ambalo limepelekea mume wake kuanguka madarakani mapema mwaka huu.

XS
SM
MD
LG