Siku chache toka kusambaa kwa taarifa kuwa benki ya dunia imezuiya mkopo wa dola milioni 50 kwa Tanzania kufuatia marekebisho ya sheria ya takwimu, serikali nchini humo imeeleza kufikia makubaliano na benki hiyo juu ya mkopo wa fedha kwenda katika shughuli za masuala ya takwimu.
Facebook Forum