Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 29, 2023 Local time: 15:58

Melania Trump anawasili Malawi leo akiendelea na ziara yake ya mataifa manne ya Afrika


Melania Trump anawasili Malawi leo akiendelea na ziara yake ya mataifa manne ya Afrika
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:03 0:00

Mke wa rais wa Marekani, Melania Trump anawasili Malawi leo akiendelea na ziara yake ya mataifa manne ya Afrika baada ya kuanzia Ghana ambako alifanya ziara ya katika hospitali moja ya watoto wachanga na kutoa zawadi ya mablanketi na vifaa vya kuchezea ambavyo vilitolewa na White House.

XS
SM
MD
LG