Duniani Leo September 28th, 2018
Tanzania yasema haiwarudishi wakimbizi wa Burundi kwao, bila idhini yao. Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania Augustine Mahiga aliyasema hayo alipohojiwa na sauti ya Amerika katika mkutano mkuu wa umoja wa mataifa unaofanyika New York. Filamu ya wakimbizi kuonyeshwa katika festival nchini Kenya.
Facebook Forum