Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Februari 05, 2023 Local time: 07:46

Watu 18 ikiwemo raia 14 wameuawa katika shambulizi la waasi nchini DRC

Watu 18 ikiwemo raia 14 wameuawa katika shambulizi la waasi nchini DRC
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:17 0:00

Watu 18 ikiwemo raia 14 wameuawa katika shambulizi la waasi jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, watu walioshuhudia wameliambia shirika la habari la AFP .

XS
SM
MD
LG