Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Juni 22, 2024 Local time: 08:58

Kwa nini wapinzani wakimbilia CCM Tanzania?


Kwa nini wapinzani wakimbilia CCM Tanzania?
please wait

No media source currently available

0:00 0:09:05 0:00

Tanzania imeshuhudia wimbi la wanasiasa wa upinzani kujiuzulu nafasi zao bungeni na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) ambacho kinatawala nchini humo.

Hatua hiyo imepelekea nchi kurejea katika joto la kisiasa, kampeni zikiendelea, kila upande ukinadi sera zake kushinda viti vilivyoachwa wazi.

Lakini swala la gharama kufanikisha uchaguzi mdogo linazungumziwa katika nchi ambayo sera ya kiongozi wake ni kubana matumizi.

Kennes Bwire anaangazia siasa za Tanzania katika Makala ya matukio Afrika.
XS
SM
MD
LG