Wamarekani wanaoishi kaibu na pwani ya Mashariki ya Atlantic, kwneye majimbo ya North Carolina na South Carolina wanaendelea kuhama mwakwa huku kimbunga kikilichopewa jina la Florence kikiendelea kupata nguvu na kupelekea wasiwasi kwamba huenda kikaleta madhara makubwa.
Facebook Forum