No media source currently available
Marekani inatarajiwa kuchukua msimamo mkali dhidi ya mahakama ya kimataifa ya jinai ICC ikitishia kuwawekea majaji wa mahakama hiyo vikwazo endapo wataedelea na uchunguzi wa madai ya uhalifu wa kivita uliofanywa na Wamarekani.
Ona maoni
Facebook Forum