Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Januari 28, 2023 Local time: 16:52

Nchini Kenya wanaharakati na mawakili wameshiriki maandamano kumwaachilia Bobi Wine

Nchini Kenya wanaharakati na mawakili wameshiriki maandamano kumwaachilia Bobi Wine
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:45 0:00

Nchini Kenya Mamia ya wakenya wakiwemo wanaharakati na mawakili wameshiriki maandamano ya amani katika jiji la Nairobi kushinikiza serikali ya Uganda kumwaachilia mbunge Bobi Wine na wengine 34 wakiwemo wabunge.

XS
SM
MD
LG