Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa, amesema ana imani kwamba kesho Jumatano, mahakama ya katiba itabadilisha matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi, na kukipatia ushindi chama chake cha Movement for Democratic Change, MDC
Facebook Forum