No media source currently available
Rais Ibrahim Boubacar Keita amechaguliwa kwa mhula wa pili wa miaka mitano baada ya kutangazwa mshindi hii leo wa duru ya pili ya ucahguzi akipata asili mia 67.17 za kura.
Ona maoni
Facebook Forum