Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 20:18

Watu walofariki kutokana na mafuriko katika jimbo la kitali la India la Kerala imeongezeka

Watu walofariki kutokana na mafuriko katika jimbo la kitali la India la Kerala imeongezeka
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:13 0:00

Idadi ya watu walofariki kutokana na mafuriko katika jimbo la kitali la India la Kerala imeongezeka na kufikia 77 hii leo wakati watabiri wa hali ya hewa wanaonya kwamba mvua zaidi za masika zinatishia mafuriko zaidi.

XS
SM
MD
LG