Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 17:04

Tatizo la mgongo kupinda kwa watoto huenda likabaki historia katika siku za usoni


Tatizo la mgongo kupinda kwa watoto huenda likabaki historia katika siku za usoni
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:21 0:00

Nchini Tanzania, tatizo la mgongo kupinda kwa watoto huenda likabaki historia katika siku za usoni. Hii ni baada ya kuanza kwa jitihada za kujenga kituo cha umahiri katika tiba za magonjwa ya Uti wa Mgongo na Mifupa.

XS
SM
MD
LG