Kikosi cha waokoaji kutoka Aquarius , kinachoongozwa na shirika la kutoa misaada kutoka Ufaransa, na Ujerumani la SOS na madktari wasio na mipaka , walikuwa tayari kuwasaidia wahamiaji walikokuwa wakitokea Tunisia, lakini hata hivyo juhudi zam zilikataliwa na wahamiaji hao.
Facebook Forum