Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Januari 19, 2021 Local time: 19:07

Rais Yoweri Museveni amezuru Tanzania kufanya mazungumzo na Rais John Magufuli

Rais Yoweri Museveni amezuru Tanzania kufanya mazungumzo na Rais John Magufuli
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:41 0:00

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amezuru Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku moja ambapo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais John Magufuli wa tanzania.

XS
SM
MD
LG