No media source currently available
Magavana 23 kutoka Kenya wamekamilisha ziara yao Marekani kwa mwaliko wa chama cha Magavana cha Marekani, NGA kwenye mkutano wao wa kila mwaka , uliofanyika mjni Santa Fe , New Mexico.
Ona maoni
Facebook Forum