Leo katika Duniani Leo, Vijana wa Yali watembelea studio za Sauti ya Amerika, Washington D.C. Serikali ya Uganda yapewa mkopo wa mamilioni kutoka China kwa ajili ya ujenzi wa barabara. Korea ya Kusini na Kaskazini zakutana. Makala ya afya inaangazia Rwanda .
Facebook Forum