Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Februari 09, 2023 Local time: 15:35

Siku tatu za maombolezo zatangazwa Ugiriki


Siku tatu za maombolezo zatangazwa Ugiriki
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:25 0:00

Siku tatu za maombolezo zimetangazwa nchini Ugiriki kufuatia tukio la moto ambalo limeua watu 74 huku serikali ikisema kwamba kuna uwezekano mkubwa kwamba watu wengi Zaidi wakawa wamefariki katika kisa hicho ambacho kimeacha huzuni kwa nchi nzima.

XS
SM
MD
LG