Mkurugenzi wa shirika la upelelezi wa taifa nchini Marekani Dan Coats amesema kwamba hakunuia kumkosea heshima rais Donald Trump kutokana na matamshi yake yaliyoonyesha mshangao kufuatia habari za mwaliko wa rais wa Russia Vladmir Putin katika ikulu ya marekani – white house
Facebook Forum