Sherehe zilizoambatana na ghasia zikiendelea nchini Ufaransa, baada ya kutwaa kombe la dunia, wakati huo huo, kwa upande wa Croatia, licha ya kufungwa, maeflu ya mashabiki waliingia mitaani kupongeza timu yao baada ya mchezo wa fainali ya kombe la dunia kumalizika
Facebook Forum