No media source currently available
Wanaharakati mjini Nairobi, Kenya, wanashinikiza serikali kukomesha mauaji ya kiholela yanayodaiwa kutekelezwa na idara ya usalama. Wanaharakati hao walifanya mkutano kama sehemu yakuiadhimisha siku ya sabasaba.
Ona maoni
Facebook Forum