No media source currently available
Rais wa Zimbabwe Emerson Mnangangwa amemaliza ziara yake ya kikazi nchini Tanzania ambako alikutana na mwenyeji wake rais John Magufuli na pia kutembelea eneo la Kaole Bagamoyo.
Ona maoni
Facebook Forum