Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 01, 2023 Local time: 06:27

Wanasiasa wa Washington D.C., Marekani walizungumzia tena suala la uhamiaji haramu


Wanasiasa wa Washington D.C., Marekani walizungumzia tena suala la uhamiaji haramu
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:43 0:00

Wakati utawala wa Trump ukitetea sera yake ya kuwatenganisha baadhi ya watoto wa wahamiaji na wazazi wao. Wahamiaji hao waliongia kiharamu kwenye mpaka wa Kusini wa Marekani wakitokea Amerkia ya kati na Amerika Kusini. Hatua hiyo imekemewa vikali na baadhi ya viongozi ya demokratik na viongozi wa dini

XS
SM
MD
LG