No media source currently available
Mgomo ulioitishwa na mashirika ya kiraia katika kijiji cha Mangoko Beni Mbau huko Kivu Kaskazini kufuatia mauaji ya watu 10 na wengine kupotea. Serikali ya DRC imelaumu waasi wa ADF.
Ona maoni
Facebook Forum