Duniani Leo May 17 2018
Kutoka Duniani Leo hivi leo tunaangazia maoni ya watu kuhusu suala la Israel na Palestine, vile vile tunatupia macho ugonjwa wa chikungunya mjini Zanzibar na machafuko yanayoendelea huko Gaza. Mwisho kabisa tunaangalia harusi ya kifahari ya Meghan Merkel inayotarajiwa kufanyika weekend.
Matukio
-
Januari 21, 2021
Sherehe za kuapishwa Joseph Biden Rais wa 46 wa Marekani
-
Januari 16, 2021
Timu ya watafiti kutoka WHO ikiwasili Wuhan
-
Desemba 23, 2020
Malori ya Uingereza yazuiwa kuingia Ufaransa
-
Desemba 18, 2020
Kilichopatikana miaka 10 baada ya mapinduzi ya nchi za Kiarabu
Facebook Forum