No media source currently available
Kutoka Duniani hivi leo, Mary Mgawe anakuletea taarifa kuhusu inspekta wa polisi Joseph Boinet na Miguna Miguna kukosa kufika mahakamani . Vile vile tunaangalia hisa zilovyoshuka kote duniani na mengineyo mengi.