Bajeti ya Marekani kwenye misaada ya kimataifa na diplomasia
Wiki hii katika Washington Bureau Mary Mgawe anaangalia bajeti mpya ya Marekani ambayo inaonekana kukata misaada kwa misaada ya nchi za mambo ya diplomasia. Vile vile ikiwa ndio mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani unaelekea kuisha, wiki hii Washington Bureau inatazama hali ya wanamichezo.
Matukio
-
Machi 14, 2025Changamoto za ulezi wa watoto walemavu kiakili Kenya
-
Februari 27, 2025Ethiopia na Somalia waimarisha uhusiano wao
-
Februari 25, 2025Tunamulika umuhimu wa utunzaji afya ya moyo
-
Februari 07, 2025Ugonjwa wa kifafa na changamoto zake katika jamii.