Upatikanaji viungo

Video

Ziara ya kwanza ya Rais Donald Trump nje ya Marekani


Rais Donald Trump wiki hii amekuwa ziarani katika nchi mbali mbali kuanzia Saudi Arabia mpaka Israel na Italia. Hii ni ziara ya kwanza ya Rais Trump akiwa kama Rais wa Marekani. Mary Mgawe anakuelezea zaidi.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG