Wakenya wa weka rikodi ya dunia kwa kushinda nafasi zote sita za kwanza katika mashindano ya dunia ya Mbiyo za Nyika upande wa wanawake mjini Kampala, Uganda, siku ya Jumapili Machi 26, 2017.
Wakenya wanyakua ushindi katika mbiyo za nyika duniani

1
Irene Cheptai wa Kenya ashinda dhahabu mbiyo za wanyika Kampala Uganda 2017

2
Bingwa wa dunia mbiyo za nyika Geoffrey Kamworor wa Kenya ashinda mbiyo za Kampala

3
Sebestian Coe rais wa IAAF na Rais Yoweri Museveni kwenye ufunguzi wa Cross Country 2017

4
Timu ya Kenya ya mchanganyiko Asbel Kiprop, Beatrice Chepkoech, Winnie Mbithe and Bernard Koros
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017