Rais Barack Obama ametoa hotuba yake ya mwisho kwa taifa kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago siku ya Jumanne usiku mbele ya maelfu ya wafuasi wake. Alizungumzia mafanikio yake ya miaka minane na kuwahimiza wananchi kuendelea kujihusisha na siasa.
Rais Obama atoa hotuba ya kuwaaga Wamarekani
5
Kutoka kushoto, Makamu Rais Joe Biden, Jill Biden, mke wa rais Michelle Obama na Malia Obama wakimsikiliza Rais Barack Obama akitoa hotuba yake ya mwisho kama kiongozi wa Marekani kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago, Jan. 10, 2017.
6
Rais Barack Obama akifuta machozi alipokua akitoa hotuba yake ya mwisho kama kiongozi wa Marekani kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago, Jan. 10, 2017.
7
Rais Barack Obama akiwapungia mkono watu walohudhuria hotuba yake ya mwisho kama kiongozi wa Marekani kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago, Jan. 10, 2017.
8
Rais Barack Obama akitoa hotuba yake ya mwisho kama kiongozi wa Marekani kwenye uwanja wa McCormick mjini Chicago, Jan. 10, 2017.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017