Upatikanaji viungo

Matukio ya Dunia

Jamii ya Wamakonde Kenya waandamana hadi Nairobi


Jamii ya Wamakonde na Wapemba watembea kwa siku nne kuwasili Nairobi kudai haki ya kutambuliwa kama raia wa nchi hiyo na kupewa vitambulisho vyao.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG