Upatikanaji viungo

Raila akaribisha hatua ya Kenyatta kuhusu tume ya IEBC


Uhuru Kenyatta (kulia) na Riala Odinga (kushoto)

Baada ya rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kutangaza kwamba muungano wa kisiasa wa Jubilee umeteua wajumbe kumi na mmoja ili kujadili hatima ya tume ya uchaguzi na mipaka nchini humo IEBC, Kiongozi wa muungano wa upinzani Raila Odinga, aliwahutububia waandishi wa habari mjini Nairobi siku ya Alhamisi. BMJ Muriithi amezungumza na mwandishi wa VOA mjini Nairobi, Moses Wangwa..

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG