Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Juni 03, 2023 Local time: 04:30

Uchaguzi wa awali, jimbo la Indiana

Mgombea wa chama cha Republican, Donald Trump, ashinda katika uchaguzi wa jimbo la Indiana hio jana, hatua ilosababisha mpinzani wake mkubwa Ted Cruz, kuamua kujitoa katika mbio hizo. Kwa upande wa Demokrat, mgombea Bernie Sanders afanikiwa kumshinda Bi Hillary Clinton katika jimbo hilo la Indiana.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG