Jengo la gorofa saba lilianguka huko Nairobi na kusababisha vifo vya watu 21 na wengine wengi kujeruhiwa. Rais Kenyatta aliyetembelea eneo la ajali ametaka uchunguzi ufanyika katika majengo ya karibu ili kuthibitisha ziko katika hali ya usalama. Ametoa amri ya kukamatwa kwa mmiliki wa jengo hili.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017