Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Julai 18, 2024 Local time: 04:18

Wananchi wa Uganda Wachagua Rais

Raia wa Uganda wakipiga kura Alhamis katika uchaguzi wa urais uliokuwa na kampeni zenye ushindani mkali kati ya Rais aliyeko madarakani Yoweri Museveni wa chama tawala cha National Resistance Movement-NRM na wagombea kutoka vyama vikuu vya upinzani, Dr. Kiiza Besigye wa chama cha Forum for democratic Change-FDC na Amama Mbabazi mgombea huru wa harakati za Go Forward.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG