Wagombea kiti cha rais wa vyama viwili vya Marekani wanatembelea wilaya zote za jimbo la New Hampshire kaskazini mashariki ya nchi kabla ya uchaguzi wa Jumanne ambapo uwamuzi muhimu utabidi kuchukuliwa na wagombea wote juu ya kuendelea au kuondoka katika kinyan'gnyiro hasa wagombea kiti wa chama cha Republican.
Kampeni za Uchaguzi wa Awali za pamba moto Marekani
5
Wagombea kiti cha rais wa chama cha republican wakijitayarisha kuanza mdahalo kabla ya ucahguzi wa awali wa New Hampshire katika chuo kikuu cha St. Anselm College, Feb. 6, 2016, mjini Manchester, N.H.
6
Mgombea kiti wa chama cha demokratic Hillary Clinton akifurahi anapokaribishwa na waziri wa zamani wa mambo ya nchi za nje Madeleine Albright katika tukio la kampeni katika shule ya Rundlett mjini Concord, N.H., Feb. 6, 2016.
7
Mgombea kiti wa chama cha Demokratic Sen. Bernie Sanders akizungumza wakati wa campeni katika chuo kikuu cha Franklin Pierce Fieldhouse, Feb. 6, 2016, mjini Rindge, N.H.
8
Bartenders work at McGarveys Bar in Manchester, N.H., as the Republican presidential debate is shown on televisions