Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Februari 29, 2024 Local time: 17:17

Kampeni za Uchaguzi Uganda Zapamba Moto


Viongozi wa upizani nchini Uganda Kiiza Besigya wa kwanza kushoto na Amama Mbabazi wa pili kulia ambao pia ni wagombea urais wa Uganda.
Viongozi wa upizani nchini Uganda Kiiza Besigya wa kwanza kushoto na Amama Mbabazi wa pili kulia ambao pia ni wagombea urais wa Uganda.

Kampeni za kuwania urais nchini Uganda zimeingia siku ya tatu hii leo.

Wagombea wa upinzani Dkt Kiiza Besigye wa chama cha “Forum for democratic change” na aliyekuwa waziri mkuu Amama Mbabazi wa vuguvugu la “Go foward,” wakiendelea kuvutia umati mkubwa wa watu katika mikutano yao.

Rais wa sasa wa Uganda, Yoweri Museveni
Rais wa sasa wa Uganda, Yoweri Museveni

Rais wa sasa Yoweri Museveni naye ameimarisha kasi akihutubia mikutano minne kila siku kwa kutumia usafiri wa ndege aina ya helicopter.

Rais Museveni anadai kugundua njama za Dkt Besigye kutaka kufanya udanganyifu katika hesabu ya kura.

please wait

No media source currently available

0:00 0:02:51 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

XS
SM
MD
LG