Upatikanaji viungo

Maadhimisho ya miaka 60 ya ushirikiano kati ya Afrika na Asia

Serehe za kuadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Jumuia ya Nchi Zisizofungamana na upande wowote NAAM zimefanyika Bandung, Indonesia, April 24 2015

0
Onyesha zaidi

Watu wakipita mbele ya bango kubwa lenye picha ya viongozi wakuu wa mkutano wa kwanza kati ya Asia na Afrika mwaka 1955 huko Bandung Indonesia. Viongozi wa nchi za Afrika na Asia  walikusanyika Bandung Ijuma April 24, kuadhimisha miaka 60 ya umoja wao.
1

watu wakikusanyika kwenye barabara ya  Merdeka mjini  Bandung, Indonesia, April 24, 2015.
2

Viongozi wa Afrika na Asia wakipiga picha wakati bwa mkutano kiuadhimisha miaka 60 ya umoja wao uloanza huko Gedung Merdeka mjini Bandung, Indonesia, April 24, 2015.
3

Watu wapiga picha pamoja na sanamu ya rais wa kwanza wa Indonesia, Bw.Soekarno mjini Bandung, Indonesia, mtu aliyesukuma kuanzishwa kwa uhusiano huo wa kihistoria. April 24, 2015.
4

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG