Wanawake duniani wakiadhimisha siku ya Kimatiafa ya Wanawake 2015, wameandamana kutaka dhulma na ghasia dhidi yao zikomeshwe.
Dhulma dhidi ya wanawake lazima zikomeshwe
5
Wanawake wanaharakati wa Ufilipino wakionesha mchezo wa kuigiza barabarani unaomulika ukiukaji wa haki za binadam mjini Manila
6
Wanawake wanaandamana wakilaani dhulma dhidi yao mjini Istanbul Uturuki siku ya Wanawake Duniani. March 8, 2015.
7
Wanaume wanabeba mabango kutaka kushirikishwa zaidi wanawake katika shughuli za kisiasa na bungeni huko Tbilisi, Georgia, March 8, 2015.
8
Mwanamke wa kihindi akibeba sufuria kichwani kuuza siku ya Wanawake Duniani India, March 8, 2015.