Upatikanaji viungo

Tunisia yalalamika dhidi ya kushindwa na Equatorial Guinea

Wachezaji wa Tunisia wasababisha ghasia uwanjani mjini Bata baada ya kushindwa na Equatorial Guinea katika robo finali kutokana na mkwaju wa penalti ulotolewa wakati wa majeraha
Onyesha zaidi

CAN: Kocha wa Tunisia Leekens , Kati kai, azungumza na maafisa wa CAF baada ya timu yake nkushindwa
1

Polisi wanawatenganisha maafisa wa CAF kutoka wachezaji wa Tunisia wenye hasira CAN 2015
2

Wanahabari watizama kwa mshangao yanayotokea uwanjani wakati wa mchezo kati ya Tunisia na E. Guinea
3

Waequatorial Guinea washerehekea ushindi wa timu yao kusonga mbele katika nusu finali Jan 31st, 2015
4

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG