Upatikanaji viungo

Rais Barack Obama ahudhuria mkutano wa viongozi wa ASEAN na Marekani huko Myanmar

Rais wa Marekani ahudhuria mkiutano wa viongozi wa mataifa 10 ya Kusini mashariki ya Asia na Marekani, huko Myanmar, nchi iliyokuwa ikijulikana kwa jina la Burma. Akiwa huko amekutana na viongozi wa nchi na upinzani

o
Onyesha zaidi

Rais Barack Obama akizungumza katika mkutano wa pili wa viongozi wa ASEAN na Marekani mjini Naypyitaw, Myanmar, Nov. 13, 2014.
1

Rais Barack Obama azungumza na kiongozi wa upinzani wa  Myanmar  Aung San Suu Kyi (kushoto) wakati wa mazungumzo ya meza ya duara na wabunge na viongozi wa mashirika ya kiraia , kujadili mageuzi ya kidemokrasia nchini Myanmarkatika mji mkuu wa Naypyitaw, Myanmar, Nov. 13, 2014.
2

Kiopngozi wa upinza ni wa Myanmar Aung San Suu Kyi (katikati) atizama wakati Rais Barack Obama akiwaamkia wajumbe kufuatia mkutano katika kituo cha masuala ya Bunge mjini Naypyitaw, Myanmar, Nov. 13, 2014.
3

Waziri Mkuu wa Rashia Dmitry Medvedev akizungumza na Rais Barack Obama mjini Nayitaw, Myanmar, Nov. 13, 2014.
4

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG