Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Mei 02, 2024 Local time: 06:23

Rais Kikwete wa tanzania atoa wito wa uwekezaji zaidi katika kilimo Afrika

Rais Jakaya Kikwete alitoa wito wa kuimarisha uwekezaji katika kilimo barani Afrika ili kupambana na ufukara ulokithiri, alipozungumza katika jopo la kimataifa juu ya kupambana na umaskini uloandaliwa na USAID mjini Washington. Baadae jioni alihudhuria dhifa ya "Usiku wa Jakaya"

Makundi

XS
SM
MD
LG