Kupanua vta dhidi ya serkali ya Kiislamu.

1
Wanaume wa Druze wakiangalia kutoka Israel kutoka milima ya Golan katika jimbo la Quneitra karibu na mpaka wakati vikosi vya waasi wa Syria vikipambana na majeshi ya Rais Bashar al-Assad Agosti. 27, 2014.

2
Moshi ukifuka karibu na kituo cha umoja wa mataifa katika jimbo la Quinetra wakati waasi wakipambana na vikosi vya Rais Bashar al-Assad, Agosti . 27, 2014.

3
Mlinda amani wa Mataifa kutoka UNDOF akiangalia jimbo Quneitra huku waasi wa Syria wakipambana na vikosi vya Rais Bashar al-Assad, Agosti. 27, 2014.

4
Moshi na moto ukionekana katika jimbo la Quneitra wakati waasi wa Syria wakipambana na vikosi vya Rais Bashar al-Assad Agosti. 27, 2014.