Maelfu ya watu walimkaribisha rais Barack Obama Tanzania alipowalisili mjini Dar es salaam kwa bendera na mabango yenye picha yake katika kituo cha mwisho cha ziara yake ya Afrika.
Rais Obama katika ziara ya Tanzania
5
Rais Obama na mkewe Michelle Obama walipowasili Dar es Salaam.
6
Mwanamama akiwa amevalia sketi yenye picha ya Rais Obama akiwa na bendera ya Marekani.
7
Rais Obama, akifuatiwa na mkewe, anacheza ngoma katika sherehe za kuwasili kwake.
8
Moja ya kanga zimevaliwa na watu kumkaribisha Rais Obama mjini Dar es Salaam.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017