Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Juni 03, 2023 Local time: 04:53

Wamisri wapinga uwamuzi wa rais Morsi kujiongezea madaraka

Maelfu ya watu walikusanyika tena kwenye uwanja wa Tahrir mjini Cairo na miji mingine kote Misri kulalamika dhidi ya amri ya Rais Mohamed Morsi kujitangazia madaraka zaidi.

Makundi

XS
SM
MD
LG